Wabunge kutoka maeneo ya mashwarikia mwa jamhuri ya Kideomokrasia ya Congo wamutaka warizi wa ulinzi nchini humo kuelezea bunge kwani ukosefu wa usalama unazidi kuendelea katika mikoa ya masharikia mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Chama cha upinzani cha FDU Inkingi kimelaani Serikali ya Rwanda kwa kukamata Augustin Maseruka kwa madai kwamba alisema Raia wakihutu pia waliuawa katika mauaji ya kimbari iliyotokea nchini humo mwaka 1994. Ungojwa mpya wa mimea ya muhogo unatishia njaa barani Afrika . Na tutaangazia kampeni dhidi ya uwindaji haramu wa wanyama pori nchini Afrika Kusini Na alhamisi tutahitimisha makala yetu kwa kuwaletea ukurasa wa mazingira . Matangazo yetu yanasikika pia katika DSTVAudio Channel 802 na unaweza kutembelea ukrasa wetu wa Facebook Channel Africa Kiswahili na pia unaweza kuchangia kwa kutoa maoni yako kupitia ujumbe mfupi wa maandishi SMS na namba yetu ya Simu ni 0027763003327 Idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika Taswira ya Afrika .
Load Duration: 01:00:03 · File size: 24.5 MB
Load Duration: 07:39 · File size: 3.1 MB
Load Duration: 37:06 · File size: 15.1 MB
Load Duration: 01:00:17 · File size: 24.6 MB
Load Duration: 57:47 · File size: 23.6 MB
Load Duration: 59:54 · File size: 24.4 MB
Load Duration: 59:55 · File size: 24.4 MB
Load Duration: 53:45 · File size: 21.9 MB
Load Duration: 04:04 · File size: 1.7 MB
Load Duration: 05:20 · File size: 2.2 MB
Load Duration: 03:24 · File size: 1.4 MB
Load Duration: 06:17 · File size: 2.6 MB
Load Duration: 57:41 · File size: 23.5 MB
Load Duration: 58:55 · File size: 24.0 MB
Load Duration: 39:08 · File size: 16.0 MB
Load Duration: 55:24 · File size: 22.6 MB
Load Duration: 55:59 · File size: 22.8 MB
Load Duration: 57:43 · File size: 23.5 MB
Load Duration: 59:49 · File size: 24.4 MB
Load Duration: 59:41 · File size: 24.3 MB
Load Duration: 59:54 · File size: 24.4 MB
Load Duration: 03:18 · File size: 1.3 MB
Load Duration: 03:49 · File size: 1.6 MB